BORA NIENDE(18)
KING SOKA
PHONE:+255717758864
DAR ES SALAAM_TZ
PAGE
#STORY_ZA_KING_SOKA
Email address
jacksonsoka@gmail.com
Ilipo ISHIA.....
Baada ya kuwa
naelekea sokono Tandika gari ilikuja kwa nyuma yangu na kunipigia honi
mfululizo bila hata kuwa na tatizo.
Na baada ya honi ile
gari nyeusi aina ya v8 ikanipita kwa kasi ya ajabu na hapo hapo simu iliita
kupoa tu,
Boss anaanza kuongea
bila hata kuvuta pumzi ili namimi nimjibu na baada yakumaliza anakata simu.
Njia naamua kupaki
pikipiki njiani na kumtumia boss Mr David mesaji ya kumtaaribu kama siendi
alipo niita.
NAAM !SONGA
NAYO............
Niliamua kupaki
pikipiki pembeni na kumtua text Mr David kama siwezi kuja sehemu aliyo niita na
kama shida yake ni kuniuwa basi atafute njia nyingine lakini siyo ya mimi
kujipeleka peke yangu katika shimo la mamba na kwemda kufa huku najiona.
"Bwana mdogo
acha zarau sikiliza wito kataa maneno,unajua nakuitia nini ?
Kama kukuuwa
ningekugonga na gari lakini kwa nini sijafanya bado nataka uinjoi maisha ya
duniani
Uone raha na machungu
yake.
Sasa wewe kijana
unaona mimi nataka kukuuwa kwa faida gani labda pesa huna nyumba huna nikikuuwa
nitachukua nini mimi kama siyo kukuonea"
Alijibu text yangu Mr
David baada ya kumtumia na kumwambia siwezi kwenda sehemu anapo niita na badala
yake nilielekea zangu sokoni.
"Hello kaka vipi
upo salama?
Na kwa sasa upo wapi
kwani kaka yangu nimekumisi nikuone tu.
Maana kila nikifunga
macho kama nakuona wewe tu.
Ndiyo umetawala mboni
za jicho langu.
Upo wapi kaka mbona
uongei sasa jamani mimi nataka"
Aliongea Melisa bada
yakunipigia simu, huku nikiwa nimekaa tu dukani kwangu huku nikitafakari ni
vipi nitamuepuka Mr David tajiri wangu wa zamani aliyegeuka adui mkubwa wa
maisha yangu.
"Unataka!
unataka nini jamani na wewe , mbona kama sijakuelewa kitu unacho kitaka jaribu
kunielezea nipo kwa ajili ya kukusikiliza wewe "
Niliongea mimi kwa
kumjibu Melissa.
"Nataka kama
jana ulivyokuwa kukiunyonya mdomo wangu .
Yani kila nikijaribu
kufunga macho nakuona wewe please kaka nakuja uje ufanye kama jana niambie tu
nije"
Aliongea Melissa.
"Ok sawa njoo na
nguo zako baazi na siku chache zijazo tutaenda kuchukua vyombo vyako na kuja
kuishi huku au unasemaje Melissa"
Nilimjibu Melissa.
"Waoooooooh kaka
asanteeeeeee"
Alipiga kelele
Melissa msichana aliyeonekana kukulia katika maadili yote ya kidini.
Na hata shule alizo
soma zilikua ni za bei na maisha ya tabu hakuyazoea maana hata ongea yake tu
ilionyesha.
"Hivi huyu
Melissa mbona anataka kunitia majaribu huku ananita kaka huku anataka nimnyonye
mate huu sini msala jamani au ndiyo utamu unamjia kwa kasi kutokana na hajawahi
kufanya kitendo kile.
Na mimi nikimuacha na
nimesha muonjesha itakuwa balaa bora niende nae kama anavyo taka ila katika sex
inabidi nitulie kwanza isije ikawa kama hii hali aliyo nayo sasa"
Nilimuwazia sana
Melissa na kuamini yeye ndiye mke bora katika maisha yangu na kujiahidi sinta
mliza wala kumsali.
Melisa aliwasili
nyumbani kweli majira ya saa moja jioni na wakati huo nilikua nipo dukani
kutokana na Melissa kuifahamu nyumba ile vizuri ata nilipo wekafunguo za geti
alipafahamu na funguo za ndani pia alipafahamu na kuingia ndani bila hata
wasiwasi.
Mpaka mda mimi nafika
usiku nilikuta kila kitu tayari chakula mezani maji ya kuoga huku
nikikaribishwa na mabusu mix denda kwa wingi mpaka nilishindwa kuingia ndani
kwanza.
Ikabidi nimalize kiu
ya Melisa kwanza maana ni mtu aliyekuwa na joto kali la mapenzi na sikutaka
kufanya naye kitu kile kwake kwa kuofia kelele wakati wa kufungua nyia zake
kutokana na yeye kuwa bado bikra.
Niliamini sasa ndiyo
wakati wake lakini bado pia nilisita na kumuuliza.
"Melisa kweli
upo tayari kuvunja kiapo chako cha kuto kufanya mapenzi mpaka siku utakayo
olewa au umegairi na upo tayari kukivunja kiapo chako"
Nilimuuliza Melissa
wakati akiwa amenikumbatia sana mpaka nashindwa hata kupiga atuaya kuendelea
mbele.
"Ndiyo kaka nipo
tayari kuivunja na kufanya kwa ajili yako.
Nakupenda sana na
nipo tayari kwa chochote utakacho kisema nakusikiliza"
Aliongea Melissa.
Hatimaye wiki
ilikatika nikiwa bado sijafanya tendo la ngono na Melissa kwa leo mpaka atimize
azima yake ili akamilishe ahadi yake aliyoipanga mpaka atakapo olewa ndipo
mambo ya mapenzi atayaanza.
Na alipenda mwanaume
atakaye muowa ndiye awe peke yake wa kwanza uona maungo yake na sehemu zake za
siri.
"Jamani Kaka
mbona uliniambia kuwa utaishi na mimi lakini mpaka leo hata kulala na mimi
utaki zaidi ya kuunyonya mdomo wangu tu na mapenzi yote unsnionyesha lakini
kushiriki na mimi katika tendo utaki au bado unapenda kuzidi kuwa kaka yangu.
Kumbuka nakupenda
sana tena sana na natamani siku nikuite mume wangu, lakini pia kukuita kaka
nitaendelea"
Aliongea Melissa
baada ya kuona wiki zinakatika bila hata kufanya naye kitu huku akitamani
kufanya mapenzi lakini sikutaka mimi.
"Melissa
natambua ubanipenda kweli na mimi nakupenda kweli, lakini pia kumbuka una ahadi
yako uliyoiweka kana naziri yako hivyo leo nikiwa wakwanza kukushawishi uivunje
mimi nitahukumiwa na Mungu kwa kosa hili.
Tusubiri tuoane na
baada ya hapo uwe umetimiza maleongo yako hata kama ulimushidi mzazi wako ahadi
iwe imetimia"
Niliongea
nikimuelekeza Melissa
"Zambi gani
utakayo ipata wewe wakati mimi ndiyo nimekuambia au unipendi niambie nijue.
Kama nakusumbua
niweke wazi"
ITAENDELEA........
No comments:
Post a Comment