Inachokifanya Manchester city kwa vilabu vikubwa kama Manchester united (2), Chelsea ikifungwa (1), liverpool ikifungwa (5) na
Arsenal ikifungwa (3) na leo kiama kimemuangukia Tottenham ikikubali kipigo cha goal nne kwa moja
Hatimaye club hii yenye maskani yake katika jiji la manchester ikiwa imefanikiwa kumaliza mzunguko wa kwanza bila kupoteza mchezo hata mmoja
hongera club ya Manchester city
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Responsive Ads Here
No comments:
Post a Comment